UNODC kuisadia Z’bar kupambana na madawa ya kulevya

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) limesema litafanya tathmini ya kina kupata njia muafaka za kuisaidia Zanzibar kukabiliana na biashara, matumizi na athari za dawa za kulevya kwa jamii. Hayo yamesema na Kiongozi wa ujumbe kutoka Shirika hilo, Jose Vila Del Castillo alipokutana na Makamu wa Kwanza…

Kwaheri Dk. Abdul Kalam

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad ametuma salamu za rambi rambi kwa wananchi wa India kufuatia kifo cha mwanasayansi aliyewahi kuwa Rais wa nchi hiyo, Dk. Avul Pakir Abdul Kalam kilichotokea Jumatatu iliyopita. Ametuma salamu hizo wakati alipozungumza na Balozi mdogo wa India hapa Zanzibar, Satendar Kumar huko katika…

Uwekezaji wa kikanda uimarishwe

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea haja ya kuimarishwa kwa biashara na uwekezaji wa kikanda ili kutoa fursa kwa wananchi wa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kukuza biashara na maendeleo yao.

Z’bar, Kuwait zina mengi ya kushirikiana

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema Zanzibar ina mengi ya kujifunza kutoka Kuwait, ikiwemo njia bora ya kuendeleza sekta ya mafuta na gesi ili iweze kuwanufaisha wananchi wote. Maalim Seif amesema hayo leo wakati alipokuwa na mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem ambaye…